Aina Za Nomino
Nomino ni neno linalotumika kutajia vitu, mahali, wanyama, wadudu, ndege, samaki n.k – vinavyoonekana na visivyoonekana mifano ni kama vile:- Nyumba, Kiatu, Jani, Woga, Marashi, Risasi, Korongo, Nyati, Kereng’ende, Mungu, Malaika, Karatasi, Dawa nk. Nomino za kawaida/jumuishi Haya ni majina ya kawaida yanayoweza kutumiwa kurejelea vitu mbalimbali, watu, wanyama, mahali na kadhalika. Nomino hizi zinaweza…