Tarakimu
Tarakimu ni nambari aidha huitwa rakamu. Tarakimu ni mameno yanayoandikwa badala ya nambari katika lugha ya Kiswahili. Maneno yafuatayo no baadhi ya tarakimu. Yatazame: 0 – Sufuri 1 – Moja 2 – Mbili 3 – Tatu 4 – Nne 5 – Tano 6 – Sita 7 – Saba 8 – Nane 9 – Tisa 10…