Uchanguzi wa Sentensi
Sentensi huwa na sehemu kadhaa madhalani nomino, kivumishi, kitenzi, kiunganishi, kihusishi, kielezi, kiwakilishi na kihisishi. Ipo mipangilio kadhaa laini nitashughulikia michache. Nomino + kivumishi + kitenzi + kielezi Km. Mwanasheria huyu ametoka Amerika. Nomino + kitenzi + kielezi Km. Bibiarusi anatembea kwa madaha. Kiwakilishi + kitenzi + kielezi Km. Huyu anaimba vizuri. Kitenzi + Kielezi….