Ufundishaji wa ufahamu
Ufahamu ni kifungu ambacho hufundishwa na kutahiniwa katika shule za msingi. Jambo linalotahiniwa katika ufahamu ni kuekewa kwa mwanafunzi. Ili mwanafunzi aelewe yapo mambo kadhaa anahitaji kuyaelewa. Kwa kawaida haya ya kwanza hutanguliza mada kuu ya kifungu. Kila kifungu huwa na maudhui yanayolengwa kutoka mwanzo hadi mwisho. Kila aya hundwa ikilenga maudhui ya kifungu kizima….