Jinamizi
Andika insha isiyopungua ukurasa mmoja u nusu kuhusu ndoto mbaya. JINAMIZI Nina alikuwa amenikanya kutopitia njia za vichochoroni. Siku moja, nilighairi wazo hilo na kujifanya sikio la kufa lisilosikia dawa. Nilichapua milundi kama anayefuata mkembe aliyetoroka. Nikapitia kwenye ujia uliokuwa ukipitia katika bonde la NGAI NDEITHIA. Maana yake Rabuka ninuzuru. ‘ Lakini mama aliniambia nisiwahi…