Tashdidi
Tashdidi ni fani ya lugha inayotumia maneno mawili yaliyo na maana moja kuleta msisitizo katika uandishi. Hizi ni kati ya tashdidi ambazo zimekusanywa kwa ustadi sitazokusaidia kupamba Insha yako vilivyo. Tazama mifano ifuatayo:- Adabu na nidhamu Akili na maarifa Alifoka na kung’aka Bidii na juhudi Bora na mufti Duwaa na kubung’aa Eleza na kufafanua Fika…