Mjadala
Insha hii ni ya kujadili aidha huitwa insha ya mdahalo; mtahiniwa hupeana hoja ili kuunga mkono wazo ambalo anaona linapazwa kupewa kipaombele. Mtahini anapenda kuona kama mtahiniwa ataweza kumshawishi vya kutosha katika mdahalo wenyewe kwa kupeana mawazo mazito mazito labda katika kupinga au kuunga mkono mada kuu. Mwanafunzi anapaswa kuandika hoja za upande mmoja asichanganyechanganye….