Kuponea Chupuchupu
Andika isha isiyopungua sahifa moja u nusu kwa kutumia mdokezo ufuatao: … Ninamshukuru Dayani kwa kuninusuru. Hadi leo sijaona lango la nyumbani. KUPONEA CHUPUCHUPU Ninadhukuru kitendo cha dhuluma, wakati na siku hiyo kama jana. Nilitoka shule nikiwa na roho nzito mithili ya nanga. Sikufahamu wala kumaizi lililokuwa mbele yangu. Jambo lililonitia moyo ni kuwa mimi…