Ngeli na maelezo yake
Hizi ni ngeli maelezo yake na maneno kadhaa yanayopatikana katika kila ngeli. NGELI MAELEZO Mifano A – WA Hii ni ngeli ya majina ya viumbe wenye uhai, vinavyoonekana na visivyoonekana. Majina ya ngeli hii hayana mianzo maalum. Mtu – Watu Malaika – Malaika Mwalimu – Walimu Daktari – Madaktari Nyani – Manyani Bata – Mabata…