Barua
BARUA Barua ni mtungo unaowasilisha ujumbe kwa mtu mwengine labda kwa kutumwa kwa njia ya posta au mtu mwengine (tarishi). Zipo aina mbili za insha za barua. Barua ya kirafiki na barua rasmi. BARUA RASMI: Huandikwa kwa sababu ya sababu fulani maalum. Inaweza kuandikwa kwa kuomba nafasi ya kazi, kuomba msamaha kazini, kuomba uhamisho, kuomba…