Skip to content

Kiswahili Mujarabu

Atangaye na jua hujua

  • Nyumbani
  • Yaliyomo
    • Sarufi
    • Kuandika
      • Utahini wa Insha KCPE
      • Insha Mbalimbali
      • Aina za insha
    • Kusikiliza na kuongea
    • Msamiati
    • Kusoma
  • Mawaidha ya Ufundishaji
  • Toggle search form

Author: Harun Mbijiwe

Barua

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Barua

BARUA Barua ni mtungo unaowasilisha ujumbe kwa mtu mwengine labda kwa kutumwa kwa njia ya posta au mtu mwengine (tarishi). Zipo aina mbili za insha za barua. Barua ya kirafiki na barua rasmi. BARUA RASMI: Huandikwa kwa sababu ya sababu fulani maalum. Inaweza kuandikwa kwa kuomba nafasi ya kazi, kuomba msamaha kazini, kuomba uhamisho, kuomba…

Tafadhali Soma Zaidi “Barua” »

Aina za insha

Insha ya Methali

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Insha ya Methali

Insha ya Methali baadhi ya uandishi unaohitaji ufundi na kusukwa kwa umakinifu. Kwanza lazima mwanafunzi aeleze maana ya nje na ndani ya methali. Ajue kuwa methali huwa na sehemu mbili; hivyo ni kusema swali na jibu au tatizo na suluhisho. Kwa mfano; Asiye na wake (swali) ana Mungu (jibu). Atoe methali nyingine yenye maana sawa…

Tafadhali Soma Zaidi “Insha ya Methali” »

Aina za insha

Tashbihi

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Tashbihi

Tashbihi ni nini? Huu ni usemi wa kufananisha vitu viwili au zaidi ili kuleta msisitizo unaodhamiriwa na mzungumzaji au mwandishi. Mwanafunzi akitawala msamiati huu, huweza kujipatia alama nzuri katika uandishi wa insha kwa sababu msamiati wake upanda kiwango kingine. Tazama mifano ifuatayo:- A Adimika kama wali wa daku; barafu ya kukaanga; kaburi la baniani; kivuli…

Tafadhali Soma Zaidi “Tashbihi” »

Kusikiliza na kuongea

Ngeli na maelezo yake

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Ngeli na maelezo yake

Hizi ni ngeli maelezo yake na maneno kadhaa yanayopatikana katika kila ngeli. NGELI MAELEZO Mifano A – WA Hii ni ngeli ya majina ya viumbe wenye uhai, vinavyoonekana na visivyoonekana. Majina ya ngeli hii hayana mianzo maalum. Mtu – Watu Malaika – Malaika Mwalimu – Walimu Daktari – Madaktari Nyani – Manyani Bata – Mabata…

Tafadhali Soma Zaidi “Ngeli na maelezo yake” »

Sarufi

Kuponea Chupuchupu

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Kuponea Chupuchupu

Andika isha isiyopungua sahifa moja u nusu kwa kutumia mdokezo ufuatao: … Ninamshukuru Dayani kwa kuninusuru. Hadi leo sijaona lango la nyumbani. KUPONEA CHUPUCHUPU Ninadhukuru kitendo cha dhuluma, wakati na siku hiyo kama jana. Nilitoka shule nikiwa na roho nzito mithili ya nanga. Sikufahamu wala kumaizi lililokuwa mbele yangu. Jambo lililonitia moyo ni kuwa mimi…

Tafadhali Soma Zaidi “Kuponea Chupuchupu” »

Insha Mbalimbali

Insha za KCPE zilizotahiniwa tangia mwaka wa 1985 hadi 2023

Posted on By Harun Mbijiwe 2 Comments on Insha za KCPE zilizotahiniwa tangia mwaka wa 1985 hadi 2023

1985 Niliamshwa na harufu nzuri ya chakula kilichokuwa kikipikwa na mama. Mara nikakumbuka ilikuwa ni siku kuu. 1986 Nyanya alikuwa amezoea kututolea hadithi. Jioni alituhadithia kisa kimoja cha kufurahisha. Alianza hivi… 1987 Siku yangu ya kwanza kufika shuleni kwa masoma ni siku ambayo mpaka leo ninaikumbuka vizuri sana. Siku hiyo niliamshwa mapema na nikapelekwa mpaka…

Tafadhali Soma Zaidi “Insha za KCPE zilizotahiniwa tangia mwaka wa 1985 hadi 2023” »

Utahini wa Insha KCPE

Tashdidi

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Tashdidi

Tashdidi ni fani ya lugha inayotumia maneno mawili yaliyo na maana moja kuleta msisitizo katika uandishi. Hizi ni kati ya tashdidi ambazo zimekusanywa kwa ustadi sitazokusaidia kupamba Insha yako vilivyo. Tazama mifano ifuatayo:- Adabu na nidhamu Akili na maarifa Alifoka na kung’aka Bidii na juhudi Bora na mufti Duwaa na kubung’aa Eleza na kufafanua Fika…

Tafadhali Soma Zaidi “Tashdidi” »

Kusikiliza na kuongea

Jinamizi

Posted on By Harun Mbijiwe 4 Comments on Jinamizi

Andika insha isiyopungua ukurasa mmoja u nusu kuhusu ndoto mbaya. JINAMIZI Nina alikuwa amenikanya kutopitia njia za vichochoroni. Siku moja, nilighairi wazo hilo na kujifanya sikio la kufa lisilosikia dawa. Nilichapua milundi kama anayefuata mkembe aliyetoroka. Nikapitia kwenye ujia uliokuwa ukipitia katika bonde la NGAI NDEITHIA. Maana yake Rabuka ninuzuru. ‘ Lakini mama aliniambia nisiwahi…

Tafadhali Soma Zaidi “Jinamizi” »

Insha Mbalimbali

Safari ya Mbuga Letaraha

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Safari ya Mbuga Letaraha

Andika insha ya kusisimua na isiyopungua sahifa moja u nusu kuhusu safari ya kwenda katika mbuga ya wanyama. SAFARI YA MBUGA LETARAHA Nilipojihimu kikwara alikuwa akipiga kokoiko kuwaarifu walimwengu siku mpya imejiri. Nilichupa kutoka kwenye kitanda changu cha besera kama ngedere. Mara, mithili ya umeme nikaenda kutalii hamamu. Nikakoga yosayosa kwa maji fufutende. Nikajikwatua kwatukwatu…

Tafadhali Soma Zaidi “Safari ya Mbuga Letaraha” »

Insha Mbalimbali

Rehema Za Rahimu Ni Belele

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Rehema Za Rahimu Ni Belele

Anza kwa maneno yafuatayo: Jioni hiyo, mlango ulifunguka wazi. Sote… REHEMA ZA RAHIMU NI BELELE Jioni hiyo, mlango ulifunguka wazi. Sote…tulitumbua macho sawasawa na mjusikafiri aliyebanwa na mlango. Acha taharuki bin mbabaiko uzuke. Mimi, pale kochini nikatetemeka na kutetereka mithili ya nyasi nyikani wakati wa pepo za kusi. Mara bonge la mja likajitoma ndani. ‘Je…

Tafadhali Soma Zaidi “Rehema Za Rahimu Ni Belele” »

Insha Mbalimbali

Posts pagination

1 2 Next

Machapisho mapya

  • Barua
  • Insha ya Methali
  • Tashbihi
  • Ngeli na maelezo yake
  • Hotuba

Kumbukumbu

  • June 2025
  • January 2025
  • May 2024
  • February 2024
  • January 2024
  • September 2023
  • July 2023
  • April 2023
  • March 2023
  • September 2021
  • August 2021
  • July 2021
  • June 2021

Kategoria

  • Aina za insha
  • Insha Mbalimbali
  • Kusikiliza na kuongea
  • Kusoma
  • Majibu
  • Mawaidha ya Ufundishaji
  • Msamiati
  • Sarufi
  • Utahini wa Insha KCPE

Copyright © 2025 Kiswahili Mujarabu.

Powered by PressBook Green WordPress theme