Hotuba
Hotuba hutolewa kwa hadhira ya watu. Mwandishi huota mawazo yake labda kushughulikia tatizo fulani au kupeana mwongozo katika shughuli fulani. Mhusika mkuu katika hotuba huwa mwandishi na hadhira yake. Mwandishi anaweza kuandika yaliyosemwa na mwengine moja kwa moja au akatoa hotuba yake mwenyewe. Ni vizuri mwanagenzi ashughulikie maudhui barabara katika hotuba yake. Aanzie hotuba moja…