Skip to content

Kiswahili Mujarabu

Atangaye na jua hujua

  • Nyumbani
  • Yaliyomo
    • Sarufi
    • Kuandika
      • Utahini wa Insha KCPE
      • Insha Mbalimbali
      • Aina za insha
    • Kusikiliza na kuongea
    • Msamiati
    • Kusoma
  • Mawaidha ya Ufundishaji
  • Toggle search form

Category: Insha Mbalimbali

Kuponea Chupuchupu

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Kuponea Chupuchupu

Andika isha isiyopungua sahifa moja u nusu kwa kutumia mdokezo ufuatao: … Ninamshukuru Dayani kwa kuninusuru. Hadi leo sijaona lango la nyumbani. KUPONEA CHUPUCHUPU Ninadhukuru kitendo cha dhuluma, wakati na siku hiyo kama jana. Nilitoka shule nikiwa na roho nzito mithili ya nanga. Sikufahamu wala kumaizi lililokuwa mbele yangu. Jambo lililonitia moyo ni kuwa mimi…

Tafadhali Soma Zaidi “Kuponea Chupuchupu” »

Insha Mbalimbali

Jinamizi

Posted on By Harun Mbijiwe 4 Comments on Jinamizi

Andika insha isiyopungua ukurasa mmoja u nusu kuhusu ndoto mbaya. JINAMIZI Nina alikuwa amenikanya kutopitia njia za vichochoroni. Siku moja, nilighairi wazo hilo na kujifanya sikio la kufa lisilosikia dawa. Nilichapua milundi kama anayefuata mkembe aliyetoroka. Nikapitia kwenye ujia uliokuwa ukipitia katika bonde la NGAI NDEITHIA. Maana yake Rabuka ninuzuru. ‘ Lakini mama aliniambia nisiwahi…

Tafadhali Soma Zaidi “Jinamizi” »

Insha Mbalimbali

Safari ya Mbuga Letaraha

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Safari ya Mbuga Letaraha

Andika insha ya kusisimua na isiyopungua sahifa moja u nusu kuhusu safari ya kwenda katika mbuga ya wanyama. SAFARI YA MBUGA LETARAHA Nilipojihimu kikwara alikuwa akipiga kokoiko kuwaarifu walimwengu siku mpya imejiri. Nilichupa kutoka kwenye kitanda changu cha besera kama ngedere. Mara, mithili ya umeme nikaenda kutalii hamamu. Nikakoga yosayosa kwa maji fufutende. Nikajikwatua kwatukwatu…

Tafadhali Soma Zaidi “Safari ya Mbuga Letaraha” »

Insha Mbalimbali

Rehema Za Rahimu Ni Belele

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Rehema Za Rahimu Ni Belele

Anza kwa maneno yafuatayo: Jioni hiyo, mlango ulifunguka wazi. Sote… REHEMA ZA RAHIMU NI BELELE Jioni hiyo, mlango ulifunguka wazi. Sote…tulitumbua macho sawasawa na mjusikafiri aliyebanwa na mlango. Acha taharuki bin mbabaiko uzuke. Mimi, pale kochini nikatetemeka na kutetereka mithili ya nyasi nyikani wakati wa pepo za kusi. Mara bonge la mja likajitoma ndani. ‘Je…

Tafadhali Soma Zaidi “Rehema Za Rahimu Ni Belele” »

Insha Mbalimbali

Mama Yangu Mpendwa

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Mama Yangu Mpendwa

Andika insha ya kusisimua kuhusu mama yangu mpendwa. MAMA YANGU MPENDWA Mama yangu anaitwa Zaibaki Zuhura. Yeye ni mzaliwa wa Pembembili nchini Bahari. Ni mtoto wa nne wa bwana na Bi. Harusi Kipepeo ambao walikuwa waanzilishi wa chama cha mapinduzi miaka ya sabini. Mama yangu mpendwa amezaliwa pamoja na umbu zake watano. Karibia Zubaka, Ndodi…

Tafadhali Soma Zaidi “Mama Yangu Mpendwa” »

Insha Mbalimbali

Machapisho mapya

  • Barua
  • Insha ya Methali
  • Tashbihi
  • Ngeli na maelezo yake
  • Hotuba

Kumbukumbu

  • June 2025
  • January 2025
  • May 2024
  • February 2024
  • January 2024
  • September 2023
  • July 2023
  • April 2023
  • March 2023
  • September 2021
  • August 2021
  • July 2021
  • June 2021

Kategoria

  • Aina za insha
  • Insha Mbalimbali
  • Kusikiliza na kuongea
  • Kusoma
  • Majibu
  • Mawaidha ya Ufundishaji
  • Msamiati
  • Sarufi
  • Utahini wa Insha KCPE

Copyright © 2025 Kiswahili Mujarabu.

Powered by PressBook Green WordPress theme