Masa yanayofanywa sana katika uandishi wa insha
Sarufi Kuakifisha nomino mahususi visivyo Nomino mahususi huanza kwa herufi kubwa lakini wanafunzi wengi huziandika kwa herufi ndogo kama vile:- mungu – Mungu kimathi – Kimathi mombasa – Mombasa kenya – Kenya ziwa Nakuru – Ziwa Nakuru Kuandika kivumishi kabla ya nomino. Mwanafunzi aelewe kuwa kivumishi huelezea zaidi kuhusu nomino na hakiwezi kuja kabla ya…
Tafadhali Soma Zaidi “Masa yanayofanywa sana katika uandishi wa insha” »