Skip to content

Kiswahili Mujarabu

Atangaye na jua hujua

  • Nyumbani
  • Yaliyomo
    • Sarufi
    • Kuandika
      • Utahini wa Insha KCPE
      • Insha Mbalimbali
      • Aina za insha
    • Kusikiliza na kuongea
    • Msamiati
    • Kusoma
  • Mawaidha ya Ufundishaji
  • Toggle search form

Category: Sarufi

Ngeli na maelezo yake

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Ngeli na maelezo yake

Hizi ni ngeli maelezo yake na maneno kadhaa yanayopatikana katika kila ngeli. NGELI MAELEZO Mifano A – WA Hii ni ngeli ya majina ya viumbe wenye uhai, vinavyoonekana na visivyoonekana. Majina ya ngeli hii hayana mianzo maalum. Mtu – Watu Malaika – Malaika Mwalimu – Walimu Daktari – Madaktari Nyani – Manyani Bata – Mabata…

Tafadhali Soma Zaidi “Ngeli na maelezo yake” »

Sarufi

Uchanguzi wa Sentensi

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Uchanguzi wa Sentensi

Sentensi huwa na sehemu kadhaa madhalani nomino, kivumishi, kitenzi, kiunganishi, kihusishi, kielezi, kiwakilishi na kihisishi. Ipo mipangilio kadhaa laini nitashughulikia michache. Nomino + kivumishi + kitenzi + kielezi Km. Mwanasheria huyu ametoka Amerika. Nomino + kitenzi + kielezi Km. Bibiarusi anatembea kwa madaha. Kiwakilishi + kitenzi + kielezi Km. Huyu anaimba vizuri. Kitenzi + Kielezi….

Tafadhali Soma Zaidi “Uchanguzi wa Sentensi” »

Sarufi

Aina za Viunganishi

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Aina za Viunganishi

Neno linalounganisha maneno, vikundi vya maneno au sentensi. Vipo viunganishi aina kadhaa kama vile: Viunganishi vya kulinganisha/kufananisha Fakaifa, kaifa, kefu, sembuse, seuze Viunganishi vya uteuzi Ama, au, badala ya, mahali pa Viunganishi vya kuonyesha sababu Kwa sababu, kwa minajili, kwa maana, kwa ajili ya, kisa na maana,maadamu, kwani, madhali, kwa kuwa, ili Viunganishi vya mambo…

Tafadhali Soma Zaidi “Aina za Viunganishi” »

Sarufi

Aina za Vitenzi

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Aina za Vitenzi

Haya ni maneno ambayo huzungumzia mambo ambayo yaliyotendeka, yanayotendeka au yatakayotendeka. Maneno haya ni yale yale yanapatikana katika ngeli ya vitenzinomino KU-KU. Mfano: Nomino Kusema – kitenzi ni sema Nomino Kuimba – imba Nomino Kuruka – ruka Nomino Kuchapisha – chapisha Zipo aina mbalimbali za vitenzi. Mifano: Vitenzi vya mzizi mmoja Ja, la, pa, wa,…

Tafadhali Soma Zaidi “Aina za Vitenzi” »

Sarufi

Abjadi, abtathi au alfabeti

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Abjadi, abtathi au alfabeti

Abjadi ni nini? Abjadi au alfabeti ni sauti 30 za lugha ya Kiswahili. Hata hivyo tukirejelea kamusi kuu ya TUKI tutapata 31. Herufi C, Q na X hazipo katika alfabeti. Tazama herufi sifuatazo:- a, b, ch, d, dh, e, f, g, gh, h, i, j, k, kh, l, m, n, ng’, ny, o, p, r,…

Tafadhali Soma Zaidi “Abjadi, abtathi au alfabeti” »

Sarufi

Aina za Vihisishi (Interjections)

Posted on By 6 Comments on Aina za Vihisishi (Interjections)

Vihisishi ni maneno ya kuonyesha hisia mbalimbali za mzungumzaji. Alama ya hisi hutumika baada ya kiingizi! Tazama baadhi ya viigizi vifuatavyo vilivyopangwa kulingana na hali tofautitofauti: Dharau Mifano: Chub!Chup! Ebo! Khaa! Kefle! Po! Pukachaka! Nyoo! Us! Wee! Zii! Furaha / Shangwe Haleluyah! Ewaa! Chabaa! Oyee!Oyaa! Huree! Shabash! Heshima Tafadhali! Huruma Jamani! Pole! Maskini! Huzuni Pole!…

Tafadhali Soma Zaidi “Aina za Vihisishi (Interjections)” »

Sarufi

Aina ya Vielezi (adverbs)

Posted on By 6 Comments on Aina ya Vielezi (adverbs)

Kielezi ni neno linaloelezea zaidi kuhusu kitenzi, kivumishi au kielezi. a) Vielezi wakati (Adverbs of time) Tutaonana mwakani.Mzee mlevi alifika usiku wa manane. b) Vielezi mahali (Adverbs of place) Wameondoka kwenda cheteni.Ndege wameingia kiotani. c) Vielezi jinsi au namna (Adverbs of manner) Amecheza kwa ustadi.Walimaliza chakula haraka. d) Vielezi kiigizi (Adverbs of interjection) Alianguka mchangani…

Tafadhali Soma Zaidi “Aina ya Vielezi (adverbs)” »

Sarufi

Uakifishaji

Posted on By 6 Comments on Uakifishaji

Kuakifisha ni hali ya kutumia alama za na herufi katika sentesi za Kiswawhili ili ziweze kuleta maana kwa msomaji. Zipo sheria mbalimbali ambazo hutumika ili kuweza kuandika sentesi zilizo na mantiki.

Sarufi

Viulizi (Interrogative adjectives)

Posted on By 6 Comments on Viulizi (Interrogative adjectives)

Haya ni maneno ya kutaka kujua. Vipo viulizi aina kadhaa kama vile vinavyochukua na visivyochukua viambishi ngeli. Kiulizi ngapi? Hutaka kujua idadi ya vitu au watu. Hutumika katika hali ya wingi pekee. Kwa mfano: Watoto wangapi wameingia? Unataka viatu vingapi? Kiulizi gani? Kiulizi hiki hutaka kuakiki na kutofautisha kati ya nomino husika. Kwa mfano: Unazungumzia…

Tafadhali Soma Zaidi “Viulizi (Interrogative adjectives)” »

Sarufi

Aina za vihusishi

Posted on By 6 Comments on Aina za vihusishi

Vihusishi ni nini? Haya ni maneno yanayoonyesha uhusiano wa nomino na nyingine. Kwa njia nyingine tunaweza kusema ni uhusiano wa mtu na mwengine ama kitu. Haya ni maneno yanayoonyesha uhusiano wa nomino na nyingine au kitu na kingine. Vihusishi vya mahali. Yupo mkabala na gari. Paka yu chini ya meza. Panya ameingia ndani ya shimo….

Tafadhali Soma Zaidi “Aina za vihusishi” »

Sarufi

Posts pagination

1 2 Next

Machapisho mapya

  • Barua
  • Insha ya Methali
  • Tashbihi
  • Ngeli na maelezo yake
  • Hotuba

Kumbukumbu

  • June 2025
  • January 2025
  • May 2024
  • February 2024
  • January 2024
  • September 2023
  • July 2023
  • April 2023
  • March 2023
  • September 2021
  • August 2021
  • July 2021
  • June 2021

Kategoria

  • Aina za insha
  • Insha Mbalimbali
  • Kusikiliza na kuongea
  • Kusoma
  • Majibu
  • Mawaidha ya Ufundishaji
  • Msamiati
  • Sarufi
  • Utahini wa Insha KCPE

Copyright © 2025 Kiswahili Mujarabu.

Powered by PressBook Green WordPress theme