Skip to content

Kiswahili Mujarabu

Atangaye na jua hujua

  • Nyumbani
  • Yaliyomo
    • Sarufi
    • Kuandika
      • Utahini wa Insha KCPE
      • Insha Mbalimbali
      • Aina za insha
    • Kusikiliza na kuongea
    • Msamiati
    • Kusoma
  • Mawaidha ya Ufundishaji
  • Toggle search form

Category: Sarufi

Aina Za Nomino

Posted on By 6 Comments on Aina Za Nomino

Nomino ni neno linalotumika kutajia vitu, mahali, wanyama, wadudu, ndege, samaki n.k – vinavyoonekana na visivyoonekana mifano ni kama vile:- Nyumba, Kiatu, Jani, Woga, Marashi, Risasi, Korongo, Nyati, Kereng’ende, Mungu, Malaika, Karatasi, Dawa nk. Nomino za kawaida/jumuishi Haya ni majina ya kawaida yanayoweza kutumiwa kurejelea vitu mbalimbali, watu, wanyama, mahali na kadhalika. Nomino hizi zinaweza…

Tafadhali Soma Zaidi “Aina Za Nomino” »

Sarufi

Aina Za Vivumishi

Posted on By Harun Mbijiwe 6 Comments on Aina Za Vivumishi

Kivumishi ni neno linalozungumzia zaidi kuhusu nomino. Zipo aina kadhaa za vivumishi ambazo nimeorodhesha katika sahifa hii. Zipo aina kadhaa mathalani: Vivumishi sifa (Adjectives of quality) Kivumishi sifa vinavyochukua viambishi ngeli. Mifano: Kiatu kizuri. Unga mweupe. Shimoni kubaya. Majani meroro. Gatiro ni mgeni. Mtu mrefu. Vivumishi vya sifa kapa au tasa Mifano: Mwanafunzi hodari. Nguo…

Tafadhali Soma Zaidi “Aina Za Vivumishi” »

Sarufi

Posts pagination

Previous 1 2

Machapisho mapya

  • Barua
  • Insha ya Methali
  • Tashbihi
  • Ngeli na maelezo yake
  • Hotuba

Kumbukumbu

  • June 2025
  • January 2025
  • May 2024
  • February 2024
  • January 2024
  • September 2023
  • July 2023
  • April 2023
  • March 2023
  • September 2021
  • August 2021
  • July 2021
  • June 2021

Kategoria

  • Aina za insha
  • Insha Mbalimbali
  • Kusikiliza na kuongea
  • Kusoma
  • Majibu
  • Mawaidha ya Ufundishaji
  • Msamiati
  • Sarufi
  • Utahini wa Insha KCPE

Copyright © 2025 Kiswahili Mujarabu.

Powered by PressBook Green WordPress theme