Majibu ya maswali ya Nomino
- Nomino mahususi
- Nomino hesabika/kawaida/mguso
- Nomino fungamano/
- Nominoambata / wingi
- Nomino takuzi/ukubwa
- Nomino tadunisha/ndogoishi/udogo
- Nomino dhahania
- Nomino hesabika/kawaida/mguso
- Nomino makundi
- Nomino vitenzi
Majibu ya maswali ya Tarakimu
- 300,486
- Elfu mia mbili sabini na sita, mia tisa tisini na tisa au laki mbili sabini na tisa elfu, mia tisa tisin na tisa.
- Kumi elfu na moja.
- Mia moja milioni na moja.
- Elfu themanini na tisa, mia tisa tisini na tisa.
- 6,940
- Milioni kumi na tano, mia mbili kumi na tatu, mia nne thelathini na tano.
- 300,000,033
- Milioni mia tisa tisini na tisa, elfu mia tisa tisini na tisa, mia tisa tisini na tisa.
- Elfu kuni na mbili na moja.
Majibu ya maswali ya Uakifishaji
- Kistari kifupi, mkwaju, kikomo
- Dukuduku
- Mkwaju
- Ritifaa
- Nukta pacha
- Kinyota
- , , ?
- Ala! Kumbe Karok ni Mwizi!
- Nusu koloni
- Vinukuzi
Majibu ya maswali ya Abjadi
- Konsonanti
- Vokali au irabu
- Silabi.
- Sauti.
- Ghuna.
- Sighuna.
- Changamano.
- Mwambatano.
- Abtadhi au alfabeti.