1. Almashauri ya shule
2. Biwi la takataka / simanzi
3. Bunda la noti / kititacha pesa
4. Chane ya ndizi
5. Doti ya kanga
6. Funda la maji
7. Genge la wezi
8. Jora la leso / kanga
9. Jozi la viatu / soksi
10. Kamati ya shule
11. Kicha cha funguo
12. Kichala cha matunda
13. Kichara cha matunda
14. Kigaro cha askari
15. Kilinge cha wachawi
16. Kipeto cha barua
17. Koja la maua / asumini / mawaridi / nargisi
18. Kundi wanyama (ndovu, swara, mbogo)
19. Matopa ya vitabu
20. Mkungu wa ndizi
21. Mkururo wa watoto
22. Msengwe wa waasi / wagomaji
23. Msitu wa miti
24. Robota ya pamba
25. Safu ya milima
26. Shungi la nywele
27. Tano ya chokaa
28. Tita la kuni
29. Tonge la ugali
30. Umati wa watu