Tarakimu ni nambari aidha huitwa rakamu. Tarakimu ni mameno yanayoandikwa badala ya nambari katika lugha ya Kiswahili. Maneno yafuatayo no baadhi ya tarakimu. Yatazame:
0 – Sufuri
1 – Moja
2 – Mbili
3 – Tatu
4 – Nne
5 – Tano
6 – Sita
7 – Saba
8 – Nane
9 – Tisa
10 – Kumi
16 – Kumi na sita
20 – Ishirini
30 – Therathini
40 – Arobaini au Arubaini
50 – Hamsini
101 – Mia moja na moja
1000 – Elfu moja
1,001 – Elfu moja na moja
10,000 – Elfu kumi
11,000 – Elfu kumi na moja
1,0001 – Kumi na moja elfu na moja
11,111 – Elfu kumi na moja, mia moja na kumi na moja.
11,001 – Elfu kumi na moja, na moja
100,000 – Laki moja (elfu mia moja)
100,001 – Mia moja elfu na moja au laki moja na moja
200,000 – Laki mbili au elfu mia mbili
369, 699 – Elfu mia sitini na tisa, mia sita tisini na tisa.
500,000 – Elfu mia tano
900,000 – Laki tisa/ elfu mia tisa
980, 671 – Elfu mia tisa themanini, mia sita sabini na moja.
1,000,000 – Milioni moja
10,000,001 – Milioni kumi
10,000,000 – Kumi na moja milioni, na moja
90,000,000 – Milioni tisini
99,999,999 – Milioni tisini na tisa, elfu mia tisa tisini na tisa, mia tisa tisini na tisa.
100,000,000- Milioni mia moja
279,888,890 – Laki mbili, sabini na tisa elfu,
Maswali ya tarakimu
- Andika laki tatu, mia nne na themanini na sita kwa nambari.
- 279,999 kwa maneno._________________.
- 10,0001 ni ___________________.
- 100,000,001 kwa maneno ni _________________.
- 89,999 ni ____________________.
- Elfu sita mia tisa arubaini huandikwaje kwa nambari. _____________.
- 15,213,435 ni ________________.
- Milioni mia tatu na thelathini na tatu ni _________________.
- 999,999,999 ni _________________.
- 12,001 ni ___________________.