Haya ni maneno ambayo huzungumzia mambo ambayo yaliyotendeka, yanayotendeka au yatakayotendeka. Maneno haya ni yale yale yanapatikana katika ngeli ya vitenzinomino KU-KU. Mfano:
- Nomino Kusema – kitenzi ni sema
- Nomino Kuimba – imba
- Nomino Kuruka – ruka
- Nomino Kuchapisha – chapisha
Zipo aina mbalimbali za vitenzi. Mifano:
Vitenzi vya mzizi mmoja
Ja, la, pa, wa, nywa,